SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE

SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE
kiungo : SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE

soma pia


SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE


SERIKALI ya Sweden imetoa kiasi cha fedha Bilioni 66 za kitanzania sawa na dola za Marekani milioni 30 ambazo zitatumika katika kukarabati mitambo katika Kituo cha Kuzalishia Umeme cha Hale Hydro System wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Hayo yamebainishwa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Katarina Rangnitt wakati alipotembelea mgodi huo ambapo upo Hale wilayani Korogwe Mkoani Tanga. Amesema kuwa Tanzania na Sweden zina historia za muda mrefu katika uhusiano wa kidplomasia na nyanja mbalimbali za uchumi na kijamii.

Amesema kuwa nishati ni jambo muhimu kwa maendeleo ya viwanda hivyo kwa kuona umuhimu wa jambo hilo kwa nia moja serikali ya Sweden imetoa kiasi hicho cha fedha katika kukarabati mgodi huo." Nishati ni jambo muhimu katika maendeleo ya viwanda na Tanzania tayari imeweka mikakati mizuri katika maendeleo ya viwanda hivyo,serikali ya Sweden imetoa kiasi hicho cha fedha kwa kukarabati mgodi huo "alisema.

Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Katarina Rangnitt kulia wakati alipomtembelea ofisini kwake kufanya mazungumzo naye pia alitembelea Kituo cha kufufua umeme kwa njia ya Maji kilichopo Hale wilayani Korogwe

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Katarina Rangnitt akitembelea maeneo mbalimbali kwenye kituo hicho
Balozi wa Sweden nchini Tanzania Katarina Rangnitt wa pili kutoka kulia akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto wakiangalia kitu wakati walipotembelea kituo hicho
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE

yaani makala yote SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/sweden-yatoa-bilioni-66-kukarabati.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKARABATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE"

Post a Comment