SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI

SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI
kiungo : SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI

soma pia


SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
SERIKALI ya kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  imezindua mpango wa taifa wa kuboresha huduma upasuaji ambayo kila mtu anaweza kumudu  kufikia 2025.

Akizungumza wakati wa uzinduaji wa mpango huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Ulisubisya Mpoki amesema kuwa mpango huo umekuja wakati mwafaka kutokana na sera ya afya miaka mitano kuisha hivyo mpango huo kuingia katika sera ya miaka mitano.

Dk. Mpoki amesema kuwa mpango huo uko katika muda mwafaka kutokana na hatua mbalimbali za uboreshaji afya kwa wananchi katika upatikaji wa huduma za upasuaji hali ambayo itaokoa maisha pamoja na kuongeza uzalishaji.

“Upasuaji salama ni ishara ya  kila mtanzania anaweza kupata huduma za afya na kuongeza uzalishaji  ,kuboresha huduma za upasuaji bora pamoja na dawa za usingizi ni muendelezo wa kuboresha afya ya uzazi kwa nchi nzima” amesema Dk.Mpoki.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Ulisubisya Mpoki akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa taifa wa huduma ya upasuaji, jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Shirika la GE, Asha Varghese akizungumza kuhusiana na Tanzania kupokea mpango wa upasuaji na kuingiza katika mpango wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasioambukiza, Dk. Sarah Maongezi akizungumza hali ya upasuaji nchini, jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Ulisubisya Mpoki akikata utepe kuashiria uzinduzi mpango wa taifa kuboresha huduma za upasuaji, jijini Dar es Salaam.
Sehemu wataalam wa afya  wa nchi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa afya unaofanyika nchini.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI

yaani makala yote SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/serikali-yazindua-mpango-wa-wataifa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA WATAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA YA UPASUAJI"

Post a Comment