title : Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja
kiungo : Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja
Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja
Sehemu ya Matrekta yaliyonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Klimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi. Serikali imenunua jumala ya matrekta 20 ili kuweza kumsaidia mkulima kuondokana na ukulima wa zanani ambao hauna tija. matrekta hayo aina ya new holland na mahindra yamegharimu jumla ya shilingi bilioni moja, milioni mia nne sabini na sita,laki tatu sitini tano elfu mia mbili na hamsini.

Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifigo na Uvuvi Mh. Rashid Ali Juma akisalimiana mwakilishi wa kampuni ya Mahindra baada ya kukabidhiwa Matrekta 20
Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifigo na Uvuvi Mh. Rashid Ali Juma akijaribu moja ya matrekta yaliyokabidhiwa kwa Serikali hivi karibuni
Hivyo makala Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja
yaani makala yote Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/serikali-yapokea-matrekta-20.html
0 Response to "Serikali yapokea matrekta 20 yaliyonunuliwa kwa gharama ya zaidi ya Bilioni moja"
Post a Comment