title : RC SHIGELLA:WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII
kiungo : RC SHIGELLA:WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII
RC SHIGELLA:WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII
Sehemu ya wanawake wakiwa kwenye maandamano wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa ilifanyika kwenye viwanja vya Kange Jijini Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella katika akipokea maandamano ya wanawake wakati wa maadhimisho ya siku yao kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa benki ya Amana wakati alipotembelea banda lao kwenye maadhimisho hayo wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (Ras) Mhandisi Zena Saidi
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi wakiangalia bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wanawake
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza katika maadhimisho hayo. Kwa habari kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala RC SHIGELLA:WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII
yaani makala yote RC SHIGELLA:WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC SHIGELLA:WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rc-shigellawanawake-wana-mchango-mkubwa.html
0 Response to "RC SHIGELLA:WANAWAKE WANA MCHANGO MKUBWA KWA JAMII"
Post a Comment