title : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE
kiungo : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi Ali Karume kwenye msiba wa Bw. Said Abdallah Natepe aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Utawala Bora.
Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
Mwili wa marehemu Said Natepe ukibebwa tayari kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwache
…………………
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo alijumuika na Viongozi pamoja na wananchi Mazizini kwenye msiba wa Marehemu Said Abdallah Natepe .
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-ahudhuria-msiba-wa-said.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA SAID NATEPE"
Post a Comment