title : RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO
kiungo : RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO
RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Viongozi walioapishwa na Rais Dk. Shein katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar ni Fatma Gharib Bilal ambaye ameapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto.
Mwengine aliyeapishwa ni Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais.
Hafla hiyo, ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said pamoja na Mawaziri.
Viongozi wengine waliohudhuria hafla hiyo ni Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabih, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud, Washauri wa Rais wa Zanzibar pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Fatma Gharib Bilal kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Mawaziri waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliwaapisha Viongozi hao Fatma Gharib Bilal kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto na Nd,Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Balozi Seif Ali Iddi kabla kuwaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni hafla hiyo ya kiapo ilifanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika kiapo cha Viongozi Fatma Gharib Bilal kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto na Nd,Abdalla Hassan Mitawi kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,walioapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ikulu)KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO
yaani makala yote RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-dk-shein-awaapisha-viongozi-leo.html
0 Response to "RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI LEO"
Post a Comment