title : DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO
kiungo : DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO
DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akijaribu moja ya fulana alizopatiwa na Mjasaliamali mchoraji Baraka Aj (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo yanaliyofunguliwa rasmi jana jumamosi Oktoba 20, 2018.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akicheza ngoma pamoja na kikundi kimojawapo kilichotumbuiza katika Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo muda mfupi kabla ya kuzindua Tamasha hilo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018
Mkuu wa Chuo cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA), Dkt. Herbert Makoye (kulia) akitoa maelezo kwa Waziri wa Habari, Utamduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusu bidhaa mbalimbali zinazozalishwa katika banda la Chama cha wasanii na wachoraji Tanzania muda mfupi kabla uzinduzi wa Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo jana jumamosi Oktoba 20, 2018 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
.
Wakufunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TASUBA) iliyopo Bagamoyo Mkoani Pwani wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni lililofanyika Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana Jumamosi Oktoba 20, 2018.
Wasanii wa Kundi la Ngoma Kali lenye makazi yake nchini Finland wakitazama burudani kutoka katika vikundi mbalimbali vilivyotubuiza katika Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililozunduliwa jana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Hivyo makala DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO
yaani makala yote DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dkt-mwakyembe-azindua-tamasha-la-37-la.html
0 Response to "DKT. MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA 37 LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO"
Post a Comment