RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA

RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA
kiungo : RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA

soma pia


RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA

 Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii

RAIA wa Zambia na wenzake sita wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kula njama, wizi na utakatishaji wa fedha.

Hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo leo na Wakili wa Serikali, Mwanaamina Kombakono akisaidiana na Wakili wa Serikali mwandamizi Mutalemwa Kishenyi imewataja watuhumiwa hao ni Kirby Ng'andu, Meneja uendeshaji wa kampuni ya Zambia Cargo and Logistic, Robert Christopher na Wakala wa usafirishaji, Isihaka Ngubi, Cathbert Mlugu mlinzi, Mrisho Mindu, Karani Giften John na Maulid Said.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi imedaiwa, kati ya Januari 26 na Februari 2 mwaka huu, huko katika kampuni ya Zambia Cargo and Logistics iliyopo Dar es Salaam,washtakiwa wote kwa pamoja walikula njama ya kutenda kosa la wizi.

Imeendelea kudaiwa, siku na mahali hapo, washtakiwa hao  waliiba katoni 700 za korosho zilizobanguliwa  zenye thamani ya USD 54180 ambazo ni sawa na Sh.120,563,909,53, mali ya Barabara Trading Tanzania Ltd.

Wakili Mwanaamina amedai  kuwa, siku na mahali hapo, watuhumiwa hao wote pia walijihusisha na muamala unaohusiana na katoni hizo 700 za korosho zenye thamani hiyo ya fedha huku wakijua kuwa, mali hiyo ni zao lililotokana na kosa la wizi.

Hata hivyo, washtakiwa wote wamekana kutenda makosa hayo na wamerudishwa rumande kwa kuwa shtaka la utakatishaji wa fedha halina dhamana, wakili Kishenyi amedai kuwa, upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho kutwa, Machi 9 mwaka huu.


Hivyo makala RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA

yaani makala yote RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/raia-wa-zambia-wenzake-kortini-kwa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIA WA ZAMBIA, WENZAKE KORTINI KWA KWA TUHUMA ZA UTAKATISHAJI FEDHA"

Post a Comment