title : NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB KUANZIA LEO
kiungo : NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB KUANZIA LEO
NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB KUANZIA LEO
Baada ya kupata baraka zote toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mabingwa wa muziki wa starehe nchini The Kilimanjaro band Wana Njenje wamerudi upya pale pale Salender Club jijini Dar kuanzia Jumamosi hii ya leo Machi 31, 2018 na kila Jumamosi kuanzia saa tatu hadi majogoo kama kama kawaida yao. Usiseme hukuambiwa Hallooo...Hallooooo..
Hivyo makala NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB KUANZIA LEO
yaani makala yote NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB KUANZIA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB KUANZIA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/njenje-waibuka-upya-salender-bridge.html
0 Response to "NJENJE WAIBUKA UPYA SALENDER BRIDGE CLUB KUANZIA LEO"
Post a Comment