Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe

Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe
kiungo : Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe

soma pia


Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe




Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe akimtambulisha kwa wananchi Mkuu wa dawati la Jinsia Polisi Gairo, Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Hope Kimaro wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Wilayani humo.



Mgeni rasmi Mhe. Mchembe akipokea taarifa ya Wanawake Gairo kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri Gairo, Agnes Mkandya.



Uongozi wote wa Wilaya ya Gairo, upande wa Chama na Serikali ukielekea kwenye kupanda miti kuashiria alama ya uhai mpya kwa wanawake waliokata tamaa.





Viongozi wakiwa fuatilia.



Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Gairo, Agnes Mkandya akitoa salamu.



Mkurugenzi wa Halmashauri, Mhe. Rahel Nyangasi akitoa salamu.



Viongozi Wanawake wa Wilaya ya Gairo wakiongozwa na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe (wa pili toka kushoto), Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Nyangasi (watatu kushoto) na Agnes Mkandya wakiimba wimbo maalumu kwa ajili ya siku ya Wanawake Duniani. Wilaya ya Gairo inaendeshwa na wanawake kwa asilimia zaidi ya 95 (tisini na tano).



Wanawake wakipima VVU wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Wilayani humo.





Hivyo makala Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe

yaani makala yote Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/matukio-tuimarishe-usawa-wa-kijinsia-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Tuimarishe usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake Vijijini - DC Mchembe"

Post a Comment