MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE
kiungo : MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE

soma pia


MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE

Na Karama Kenyunko, blogu ya jami

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema na wenzake saba lililokuwa linatoa taarifa ya kusudio la kukata rufaa dhidi ya uamuzi mdogo uliotolewa mahakamani hapo jana.

Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa mashtaka Juni 11mwaka 2018 kuamuriwa na Mahakama wafanye marekebisho katika hati ya mashtaka baada dhidi ya washtakiwa hao badaa ya hati hiyo, kuonekana kuwa na mashtaka batili na yenye mapungufu ya kisheria.

Kutokana na kutupwa kwa kusudio hilo la kukata rufaa, washtakiwa hao wamesomewa mashtaka mapya 13 na na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.




Hivyo makala MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE

yaani makala yote MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mahakama-yatupilia-mbali-ombi-la-upande.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE"

Post a Comment