title : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong mara baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong mara baada ya kumaliza mazungumzo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa kwanza kushoto) akishuhudia madilishano ya makubaliano ya uendelezaji wa viwanda hapa nchini kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO), Bw. Li Yong pamoja na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage leo.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/makamu-wa-rais-akutana-na-mkurugenzi.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNIDO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment