title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi mbele ya Jeneza lililowekwa mabaki ya mwili wa Marehemu Yustino Ndugai, Baba Mzazi wa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai. Marehemu Yustino alifariki Mwaka 1992 na Mabaki yake yamezikwa upya June 17 , 2017 katika makaburi ya familia ya Ndugai Kijiji cha Chimoloto Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka Shada la Maua katika kaburi la mabaki ya mwili wa Marehemu Yustino Ndugai, Baba Mzazi wa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, yaliyozikwa upya June 17 , 2017 katika makaburi ya familia ya Ndugai Kijiji cha Chimoloto Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-aongoza.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MABAKI YA MWILI WA MAREHEMU YUSTINO NDUGAI, KONGWA MKOANI DODOMA"
Post a Comment