Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba.
kiungo : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba.

soma pia


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed  mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume akitokea  Nchini Jamuhuri ya Cuba kwa ziara Maalum.Wa kwanza kutoka Kulia ni Waziri wa Habari, Utalii na Mambio ya Kale Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo.
Balozi Seif alisalimiana na baadhi ya Viongozi na Waasisi wa Vyama vya Siasa Nchini alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar.
 Balozi Seif  akibadilishana mawazo na baadhi ya Viongozi wa Serikali na vyama vya Kisiasa Ukumbi wa Watu Mashuhuri {VIP} mara baada ya Kuwasili Uwanja wa Abeid Aman Karume.
Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Bwana Ali Davutoglu kati kati akimtambulisha kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Mkurugenzi Mkuu wa Maarifa Foundation School iliyopo Kidimni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba.

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar_27.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Amaliza Ziara Maalum Nchini Cuba."

Post a Comment