MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA

MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA
kiungo : MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA

soma pia


MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA

Imeelezwa kuwa mashirika mengi yamekuwa yakianguka na kukosa mweelekeo kwa sabababu ya washirika wake kuwa na mahusiano ya mapenzi wao kwa wao wawapo kazini.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti Wa bodi Wa mfuko wa Taifa Wa bima ya afya NHIF  Spika  wa bunge mstaafu Anne Makinda wakati Wa sherehe za kuadhimisha siku ya wanawake iliyofanywa na shirika hilo ofsini kwao jijini Dar es salaam.

Akizungumza na watumishi Wa NHIF Makinda amesema kuwa na mahusiano kazini yanakufanya usijiamini uwapo kazini."Ukiwa na mahusiano na bosi wako hata kama utafanya Kazi kwa juhudi na kupandishwa cheo itaonekana kama umepanda kwa sababu mahusiano mliyokuwa nayo,"alisema Makinda.

Makinda amewaasa wafanyakazi wa NHIF wafanye Kazi kwa uaminifu na waache makandokando.Kwa upande wake Mkurungenzi Mkuu wa NHIFA Bernard Konga amesema shirika lao linasimamia suala zima la usawa wa kijinsia na watahakikisha wanawake wenye sifa wanapanda cheo.

Aidha Rose Gabriel ambae ni Mwenyekiti wa akina mama NHIF ametoa rai kwa wanawake kusherekea siku ya wanawake kwa kudumisha Umoja na mshikikamano.Amesema unapokuwa kazini masuala ya mahusiano uachane nayo na kufanya kazi kwa waminifu pamoja na kujituma kwa bidii.


Mwenyekiti  wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Spika mstaafu,Anne Makinda akizungumza na wanawake wa Mfuo huo leo jijin Dar es Salaam wakati wakisheherekea siku ya wanawake duniani.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga akizungumza machache katika leo jijin Dar es Salaam wakati wakisheherekea siku ya wanawake duniani.
Mwenyekiti  wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Spika mstaafu, Anne Makinda akikata keki leo wakati wakisheherekea siku ya wanawake duniani.
Mwenyekiti  wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Spika mstaafu, Mhe,Anne Makinda akimlisha keki Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga.
 Mwenyekiti  wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Spika mstaafu Anne Makinda akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa wanawake wa (NHIF)Rose Gabriel.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA

yaani makala yote MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mahusiano-kazini-yanakufanya-usijiamini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHUSIANO KAZINI YANAKUFANYA USIJIAMINI -ANNA MAKINDA"

Post a Comment