KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA

KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA
kiungo : KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA

soma pia


KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA


Mwambawahabari
Na Heri Shaaban
MANISPAA ya Ilala imezindua mradi wa MAJI wa sh. Milioni 32, 629 , 890  Kata ya Ilala .

Akizungumza Mara baada kuzindua MRADI huo Diwani wa kata ya Ilala  Saady Khimji alisema kisima hicho kitahudumia
Wananchi 4000 kwa wastani wa ndoo za ujazo Lita 20 kwa kila mkazi kwa Siku.

" Lengo la mradi kuondoa kero ya maji na magonjwa ya mlipuko katika Mtaa wa sharifu shamba Kwa kujenga kisima cha maji cha mita 50 kwenda chini kinachotumia nishati ya umeme" alisema Saady.

Alisema wiki ya Maji kwa mwaka Mara moja hivyo wadau wanaotoa huduma ya Maji  wanashiriki katika uzinduzi na kuweka mawe ya msingi.

Saady alisema  MAJI ndio muhimili mkuu  wa maisha yetu kauli mbiu ya mwaka huu 2018 hifadhi maji na mifumo ya kiikolojia kwa Maendeleo ya jamii

Alisema kwa miaka mingi serikali imekuwa ikitoa kipaumbele katika kupeleka huduma ya maji katika maeneo yasiokuwa na huduma .

" changamoto za watu wengi kuhamia katika Wilaya ya Ilala na msongamano wa shughuli zinazoendeshwa na wanadamu ni  vyema tukaweka mikakati ya kupambana na uhaba wa maji " alisema

Aidha alishauri kuweka utaratibu wa kuchemsha maji na kunawa mikono kwa sabuni na maji safi na salama pindi tutokapo chooni lengo kupunguza magonjwa ya mlipuko.

Alimpongeza Mbunge wa Ilala Mussa Zungu na kamati ya MAENDELEO kata  kwa usimamizi wa mradi huo hadi kukamilika.

 Kwa upande wake Kaimu Mhandisi wa MANISPAA. ya Ilala Idara ya Maji Khery Sultan alisema bajeti ya mwaka 2016 hadi 2017 zilitolewa sh 40, 000,000 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo  .

Khery alisema mradi huo una uwezo wa kutoa lita za ujazo 13,200 kwa na uwezo wa kutoa huduma kwa wakazi 4000 .

 Alitaja gharama ya mradi huo shilingi 32, 629 , 890 faida ya mradi kutoa huduma ya maji kwa wakazi wa sharifu shamba kata ya Ilala kwa shughuli za nyumbani .



Hivyo makala KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA

yaani makala yote KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kisiasa-cha-ajabu-chazinduliwa-ilala.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KISIASA CHA AJABU CHAZINDULIWA ILALA"

Post a Comment