KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Balozi wa kinywaji cha Moët & Chandon Pierre-Louis Araud akionesha kinywaji cha Moet & Chandon ambacho kimetambulishwa jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Kinywaji cha Moët & Chandon Tanzania.
 Balozi wa kinywaji cha Moët & Chandon Pierre-Louis Araud  akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutambulisha kinywaji cha Moet &Chandon hapa nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Kinywaji cha Moët & Chandon Tanzania na kushto ni Meneja Masoko wa Kinywaji cha Moët & Chandon hapa nchini, Alexandre Kelaine.
 Balozi wa kinywaji cha Moët & Chandon, Pierre-Louis Araud  akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutambulisha kinywaji cha Moet &Chandon hapa nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Kinywaji cha Moët & Chandon Tanzania na Kutoka kushoto ni  Meneja wa Chapa (Band) wa Kinywaji cha Moët & Chandon na Kulia Meneja Masoko Afrika Mashariki wa  Moët Hennessy, Alexandre Helaine.

 KINYWAJI  kipya cha Moët & Chandon kimetambulishwa leo jijini Dar es Salaam ambacho ni Kinywaji kizuri, chenye rangi ya Njano na chenye radha nzuri.

Akizungumza wakati wa kutambulisha kinywaji hicho Balozi wa kinywaji cha Moët & Chandon Pierre-Louis Araud amesema kuwa ni kinywaji chenye uhai na ukarimu, kikiwa na rangi ya njano iliyong'arishwa na dhahabu na kinajitofautisha na vingine kwa ustadi na utajiri wake  wa ladha.

Amesema kuwa "Urafiki, ushirikiano na ukarimu" ni kati ya maadili ya chapa ya Moët. Moët & Chandon inashiriki katika kuunganisha watu ulimwenguni kote na kujenga urafiki wa kudumu. Tunapofurahia uzinduzi wa Moët Nectar nchini Tanzania, pia tunataka kusheherekea watanzania kama marafiki wapya wa Moët na tunaendelea kuwapa moyo wale wote wanaopenda kufurahia maisha kushukuru kwa kila wakati na kusheherekea mafanikio kila yanapotokea." 

Harufu ya Moët Nectar Impérial ina wingi wa matunda ya kitropiki kama mananasi na maembe, viungo vitamu vya mdalasini na vanila. Kikiwa mdomoni kina mchanganyiko wa ladha nzuri ya krimu na mazabibu.

Mchanganyiko wa kinywaji cha Moët Nectar Impérial unajengwa kwenye muundo wa zabibu ya aina mbali mbali ikiwemo wa aina ya Pinot Noir (asilimia 40 kwa 50), pia aina ya Meunier (30 kwa 40) na pia aina ya Chardonnay kwa asilimia (10 kwa 20). Matumizi ya asilimia 20 hadi 30 ya mvinyo ambayo imehifadhiwa kwa uangalifu yanakamilisha uundaji wa kinywaji hiki na kukiboresha zaidi. 


Hivyo makala KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kinywaji-kipya-cha-moet-chandon-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KINYWAJI KIPYA CHA MOËT & CHANDON CHA TAMBULISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment