title : Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar
kiungo : Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar
Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar
Baadhi ya Wafanyakazi pamoja na Wateja wa Benki ya NBC waliohudhuria katika Tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki hiyo iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk,Khalid Salum Mohammed katikati akisalimiana na Viongozi wa Benki ya NBC mara baada ya kuwasili katika Tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa NBC baada ya kuhudhuria katika tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar
Mkurugenzi wa Wateja binafsi Benki ya NBC Fillbert Mponzi akizungumza machache kuhusiana na maendeleo ya wateja wa Benki ya NBC katika tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya NBC Kassim Husein akieleza machache kuhusiana na Maendeleo ya Benki ya NBC katika tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba katika tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba katika Tafrija maalum ilioandaliwa na Benki ya NBC iliotimiza miaka 50, kwa ajili ya kuwashukuru wateja wake hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akiwa pamoja na Viongozi wa NBC wakipata dhifa maalum ilioandaliwa na Benki hio iliotimiza miaka 50, kwa ajili ya kuwashukuru wateja wake hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar
yaani makala yote Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/benki-ya-nbc-yawashukuru-wateja-waker.html
0 Response to "Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar"
Post a Comment