DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP

DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP
kiungo : DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP

soma pia


DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP

-Draw ya mechi za Play-Off za Caf Confederation Cup kufanyika leo makao makuu ya CAF, Cairo Misri majira ya Saa 8:30 Mchana

-Draw hiyo inahusisha timu 32 timu 16 ambazo zilitolewa kwenye klabu bingwa Afrika (Caf Champions Leagu) na timu 16 ambazo zilifuzu hatua ya 16 bora kutoka kombe la Shirikisho (Caf Confederation Cup)

-Kutakuwa na Pot 4, ya Kwanza ni Pot A itakuwa na timu 4 ambazo zipo juu kwenye Rank ya klabu  kwa timu zilizotolewa kwenye Caf Champions League timu hizo ni Al hilal Omdurman (Sudan), St George (Ethiopia), As Vita Club (DR Congo) na Zanaco (Zambia).

-Pot ya Pili ni Pot B ambayo itakuwa na timu 4 ambazo zina Rank kubwa kwa vilabu kutoka kwenye timu 16 ambazo zilifuzu 16 bora ya Caf Confederation Cup timu hizo ni USM  Alger (Algeria), Super Sport United (Afrika kusini), Hilal Obayed (Sudan) na Enyimba (Nigeria).

-Pot ya Tatu ni Pot C ambayo itakuwa na vilabu 12 ambavyo vimebaki zilizotolewa kwenye Caf Champions League Timu hizo ni UD Songo (Msumbiji), Yanga Sc (Tanzania), CF Mounana (Gabon), Bidvest Wits (Afrika Kusini), Williamsville AC (Ivory Coast), Génération Foot (Senegal), Mountain On Fire (Nigeria), Plateau United (Nigeria), Gor Mahia (Kenya), Asec Mimosas (Ivory Coast), Rayon Sports (Rwanda) na Aduana Stars (Ghana).

-Na Pot ya 4 itakuwa Pot D ambayo itakuwa timu 12 ambazo zimebaki baada ya kutoa 4 (16-4=12) ambazo zilifuzu kutoka Caf Confederation Cup timu hizo ni La Mancha (Congo Brazzavile), Belouizdad  (Algeria), Djoliba (Mali), RSB Berkane (Morroco), Raja Casablanca (Morocco), Al Masry (Misri), Fosa Juniors (Madagascar), CARA Brazzavile (Congo Brazzaville), Costa do Sol (Msumbiji), Akwa United (Nigeria), Deportivo Niefang (Equatorial Guinea) na Welayta Dicha (Ethiopia)

-Wataanza draw na Pot A  vs Pot C kwa timu 4 kutoka Pot A na Timu 4 kutoka Pot C. wanaenda Pot B vs Pot D kwa timu 4 kutoka Pot B na Timu 4 kutoka Pot D baada ya hapo zitakuwa zimebaki timu 8 kutoka Pot C na Timu 8 kutoka Pot D wanachezesha tena Pot C vs Pot D kwa timu 8 kutoka Pot C na Timu 8 kutoka Pot D hapa maana yake ni kwamba timu ambazo zipo Pot A na Pot B haziwezi kukutana  kutokana na kuwa na ranking kubwa Afrika kwa miaka 5 iliyopita.


Hivyo makala DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP

yaani makala yote DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/draw-ya-play-off-ya-caf-confederation.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DRAW YA PLAY-OFF YA CAF CONFEDERATION CUP"

Post a Comment