DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA

DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA
kiungo : DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA

soma pia


DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA

Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akifungua kongamano la wajasiriamali katika ukumbi wa chuo cha ualimu Mtwara lililofadhiliwa na shirika la VSO. Lengo la kongamano hilo ni kuwajengea wajasiriamali hao uwezo na utayari wa kukamata fursa zitakazotokana na ugunduzi wa gesi unaoendelea katika mkoa huo na ukanda wa mikoa ya kusini kwa ujumla wake Kongamano hilo limefanyika leo 20.3.2018.
Wawasiliamali hao wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda hayupo pichani wakati akifungua kongamano la kuwajengea uwezo linalofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu mjini Mtwara. 
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akiwa katika picha ya pamoja na wajasiriamali hao mara baada ya kufungua kongamano hilo mjini Twara leo.


Hivyo makala DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA

yaani makala yote DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dc-mtwara-afungua-kongamano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA"

Post a Comment