WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO

WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO
kiungo : WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO

soma pia


WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO

Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani leo tarehe 14 Februari, 2018 ameshiriki makabidhiano ya Soko la Kimataifa la Samaki la Kasenda lililojengwa chini ya ufadhili wa Serikali ya Japan kwa gharama ya Dola za Marekani 148,146. Aidha, Waziri Kalemani ameshiriki utiaji saini wa mkataba kati ya Serikali ya Japan na Tanzania kwa ajili ya ukarabati wa barabara yenye urefu wa kilomita moja ya Muganza kwa gharama ya Dola za Marekani 90,645.
Balozi wa Japan Nchini, Masaharu Yoshida (kulia) akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato, Joel Hari (kushoto) mara baada ya kusaini mkataba kati ya Serikali ya Tanzania na Japan kwa ajili ya ukarabati wa barabara ya Muganza kwenye uzinduzi huo. Katikati anayeshuhudia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani.
Balozi wa Japan Nchini, Masaharu Yoshida akisoma hotuba katika uzinduzi huo.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akisisitiza jambo katika uzinduzi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akielezea mafanikio ya mkoa wake katika uzinduzi huo.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (wa tatu kushoto, waliosimama mbele) Balozi wa Japan Nchini, Masaharu Yoshida ( wa n ne kushoto, waliosimama mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita mara baada ya uzinduzi wa Soko la Kimataifa la Samaki la Kasenda.



Hivyo makala WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO

yaani makala yote WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-kalemani-ashiriki-makabidhiano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KALEMANI ASHIRIKI MAKABIDHIANO YA SOKO LA SAMAKI, UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA, CHATO"

Post a Comment