title : Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene
kiungo : Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene
Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene
…………………….
NteghenjwaHosseah – Kibakwe
UharibifuwavyanzovyamajinitatizolililokithirikatikamaeneomengiNchini Tanzania hukuwananchiwamaeneohayowakiendeleakushuhudianakuvumiliauharibifuhuoetikwasababutuwahusikanindugu, jamaaamamarafikiwajamiihusika.
Pasipokujaliatharizinazowezakutokeakutokananauharibifuwamazingirahususanvyanzovyamajiwananchiwameendeleakulima, kufuga, kuchungapamojanakuishikatikamaeneohayopasipokuwanashakayoyotenakusababishaukosefuwamajikwajamiiinayotegemeavyanzohivyo.
AtharizaidizimethibitijakatikaKijiji cha ChinyikanaLukolevilovyopo kata yaChinyikakwakukosamajikutokananaUharibifuuliofanywanabaadhiwawananchikatikachanzo cha majikwenyemilimayawotaambachondiochanzokikuu cha majiyamtiririkokwawananchizaidiyaelfusaba.
Hali hiiimepelekeawananchiwavijijihivyovyenyevitongojizaidiyakuminatanokuwekeanazamuyakuchotamajiambapokwa wiki kilaKijijihupatamajikwasikutatunakila kaya huchotaNdoonnekwasikuyazamuyaoambapokiasihichohakiwajawahikuwatoshamahitajiya Kaya.
WananchiwaKijiji cha ChinyikawamepazasautizaokwaWaziriwaNchi – OfisiyaRaisTamisemiMhe. George SimbachawenewakatiwaziarayakeKatikavijijihivyonakulalamikiatatizo la upungufuwamajinaadhawanayopatakutokananahalihiyo.
Mhe. WaziriSimbachaweneameshuhudiafolenindefuyandoozawakinanawakiwabondanikusubiriakupatajapomajiyakupikiachakula cha Familia: Wakinamamahaohushindazaidiyasikunzimabombanihapo au penginekukeshailikuwanauhakikawakupatajapondoomojayamajikwamatumiziyanyumbani.
AkizungumzanawakinamamaMhe. Waziriamesemaanatambuaadhawanayoipatanaamewahakikishiakwambaataanzakutatuachangamotohiyokwakuhakikisha wale wotewanaharibuvyanzovyamajikatikaWilayayaMpwapwawanatiwanguvuninakuchukuliwahatuazakisheria.
“NinajuakwambawaharibifuwavyanzohiviniwatuwenyenguvulakininamimintaongezanguvukwenyeKikosikazi cha Wilayailikuhakikishakwamba wale wotewanaoishikaribunavyanzohivyowanahamishwanamazaoyaoyanaharibiwa, mifugoinaondolewanawanapelekwaMahakamani” alisemaMhe. Simbachawene.
PiaaliongezakuwaFedhazimekwishatengwazaidiyaTsh Mil 160 kwaajiliyaukarabatiyamiundombinuinayotoamajikutokakatikaMilimayaWotakupitiaKingitihadikufikaLukolenaHalmashauriyaMpwapwaimeanzautekelezajiwamradihuuutakaokuwanamanufaakwawananchinaataongezaTsh Mil 13 kwaajiliyakuchimbakisima.
NayeMhandishiwaMajikatikaHalmashauriyaWilayayaMpwapwa Bi. ApoloniaTemuameelezeasababuyaukosefuwamajikatikavijijihivyokuwanipamojanauharibifuwamazingira, ongezeko la watuukilinganishanahapoawalinauchakavuwamiundombinuambayokwasasaimeanzakukarabatiwa.
Mhe. WaziriSimbachaweneameendeleanaziarayakekatikaJimbo la KibakwenakwasikuyatatuametembeleavijijivyaLukole, KingitinaItengeambapoamefanyamikutanoyahadhara, amesikilizakerozawananchipamjanakukaguamiradiyamaendeleo.
Hivyo makala Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene
yaani makala yote Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waharibifu-wa-vyanzo-vya-maji-kukiona.html
0 Response to "Waharibifu wa Vyanzo vya Maji Kukiona – Waziri Simbachawene"
Post a Comment