WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI

WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI
kiungo : WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI

soma pia


WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI

Na David John

WANANCHI wa mtaa wa Bombambili Kata ya Kivule wamepewa somo kuhusu suala zima la upimaji wa ardhi, huku wakielezwa umuhimu wa kurasimisha ardhi yao kwa lengo la kuzifikia huduma mbalimbali za kiserikali

Akizungumza katika mkutano wa wananchi wa mtaa huo ambao uliitishwa na ofisi ya Serikali hiyo. Adolph Milunga ambaye ni mtalaamu mpimaji kutoka chuo cha ardhi mkoani Morogoro aliwaeleza wananchi hao umuhimu wa kupima ardhi na faida Zake.

Amesema hata kuchagua watalaamu kutoka chuo cha Ardhi Morogoro hawajafanya Makosa Kwani ni uhakika kwamba serikali ndio inasimamia ambapo kupimwa kwa ardhi kunakufanya kuondoka kwenye umasikini.

Ameongeza kuwa kupimwa kwa ardhi kunakuwezesha kupata dhamana Mahakamani na mambo mengine kama mirathi. Lakini pia mikopo kwa urahisi tofauti na kuwa na ardhi ambayo haijapimwa.

" wao kama watalaamu wa serikali wanafanya kazi hiyo kwa uadilifu mkubwa mno na kwenye mtaa huu tumetoa ofa ya 160,000 na ofa hii itadumu kwa wiki moja. "alisema . Pia amesema baada ya kumalizika kwa wiki moja hakutakuwa tena kwa maana ahadi tena ya ofa hata hivyo watakwenda kuchungulia na kuona kuna nini kipo huko Benki.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI

yaani makala yote WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wananchi-bombabili-wapewa-somo-upimaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI BOMBABILI WAPEWA SOMO UPIMAJI WA ARDHI"

Post a Comment