title : WADAU MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MADHARA YATAKONAYO NA NDOA ZA UTOTONI
kiungo : WADAU MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MADHARA YATAKONAYO NA NDOA ZA UTOTONI
WADAU MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MADHARA YATAKONAYO NA NDOA ZA UTOTONI
Mwanasheria na Wakili wa Masuala ya haki za Watoto, Gebra Kambole akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Wadau wanaopinga ndoa za utotoni katika mkutano Maalum ulioandaliwa na Tasisi ya Msichana Initiative Dar es Salaam, katika Mkutano huo wadau wameweza kujadili na kupitia Rufaa iliyowekwa na Mwanasheria Mkuu juu ya kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama kuu kuwa Mtoto wa Miaka 15 awezi kuolewa.
Afisa Mawasiliano wa , Eileen Mwalongo, akizungumza jambo kuhusiana kupinga ndoa za utotoni wakati wa kikao cha Wadau kujadili Rufaa ya Mwanasheria Mkuu dhidi ya Hukumu ya kesi ya kupinga ndoa kuanzia miaka 15.
Sehemu ya Wadau walioshiriki katika kikao cha Wadau kupinga Rufaa ya Mwanasheria Mkuu kupinga hukumu ya Mahakama kuu juu ya ndoa kuanzia miaka 15.
Sehemu ya Wadau walioshiriki katika kikao cha Wadau kupinga Rufaa ya Mwanasheria Mkuu kupinga hukumu ya Mahakama kuu juu ya ndoa kuanzia miaka 15 wakimsikiliza Mwanasheria Gebra Kambole.
Hivyo makala WADAU MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MADHARA YATAKONAYO NA NDOA ZA UTOTONI
yaani makala yote WADAU MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MADHARA YATAKONAYO NA NDOA ZA UTOTONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MADHARA YATAKONAYO NA NDOA ZA UTOTONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wadau-mbalimbali-wakutana-kujadili.html
0 Response to "WADAU MBALIMBALI WAKUTANA KUJADILI MADHARA YATAKONAYO NA NDOA ZA UTOTONI"
Post a Comment