title : VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR
kiungo : VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR
VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR
Na Agness Francis Globu ya jamii
VIONGOZI wa Timu ya Township Rollers inayotarajia kumenyana na mabingwa wa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC katika dimba la Uwanja wa Taifa wameamua kufanya ziara jijini Dar es salaam.
Wakizungumza leo, viongozi hao ambao ni Motshegetsi Mafa na Sydney Magagane wamesema lengo la kufanya ziara hiyo ni kuandaa mazingira mazuri ya timu yao sehemu itakapofikia kwa ajili ya mchezo huo na mipango mingine.
Kwa siku ya jana walifika hadi maeneo yaliyopo Makao Makuu ya timu ya Yanga SC eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam na kuonana na wenyeji wao ambao ni uongozi wa klabu hiyo na kufanya mazungumzo.
Pia wametembelea Uwanja wa Taifa jijini ambao ndio utakaotumika kwa mtanange huo unaotarajia kupigwa Machi 6 mwaka huu. Timu zote mbili zinashauku ya kusonga mbele kuendelea na michuano hiyo ya Klabu Bingwa Afrika.
Hivyo makala VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR
yaani makala yote VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/viongozi-township-rollers-ya-botswana.html
0 Response to "VIONGOZI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA WATUA DAR"
Post a Comment