UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA

UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA
kiungo : UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA

soma pia


UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, upelelezi wa kesi ya mauaji ya Mkurugenzi na Mwanzilishi-Mwenza wa Shirika lisilo la kiserikali la PALMS Foundation, Wayne Lotter (52) inayomkabikabili Meneja wa benki Khalid Mwinyi (33) bado haujakamikika.

Wakili wa Serikali, Adolf Mkini ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,Wilbard Mashauri kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.

Wakili Mkini alidai kesi ilipangwa kwa ajili ya kutajwa, upelelezi wake bado haujakamilika na akaomba ipangiwe tarehe nyingine ili kuona kama upelelezi utakuwa umekamilika ama la.

Kabla ya Wakili huyo kueleza hayo, mshtakiwa Rahma Almas aliieleza Mahakama kuwa mshtakiwa Mohammed Maganga anaumwa na yupo gerezani.

Washtakiwa wengine  katika kesi hiyo ni Rahma Almas maarufu kama Baby (37)  Mfanyabiashara na Mohammed Maganga mwenye (61) ambaye ni mchimba makaburi.

Kesi imeahirishwa hadi Machi 6,mwaka 2018 kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia kama upelelezi utakuwa umekamilika ama la.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka la mauaji ambapo wanadaiwa, Agosti 16,mwaka 2017 katika makutano ya barabara za Chole na Haile Selasie Kinondoni Dar es Salaam, ambapo walimuua Lotter.


Hivyo makala UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA

yaani makala yote UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/upepelezi-kesi-ya-mauji-ya-mkurugenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UPEPELEZI KESI YA MAUJI YA MKURUGENZI PALMS BADO HAUJAKAMILIKA"

Post a Comment