title : Mkutano wa nne baraza kuu la chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar
kiungo : Mkutano wa nne baraza kuu la chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar
Mkutano wa nne baraza kuu la chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar
Mwenyekiti wa Chama cha Wafayakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar akizungumza machache na kumkaribisha mgeni Rasmi katika kikao cha Baraza kuu la nne la Chama hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafayakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania TALGWU Obadia Mwakasitu akizungumza katika Kikao cha Baraza la nne la ZAPSWU huko katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi
Mgeni rasmi wa Kikao cha Baraza kuu la nne la Chama cha Wafayakazi wa Sekta ya Umma Mw. Khamis Mwinyi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi ZATU akiwahutubia washiriki wa wa Kikao hicho
Washiriki wa kikao cha Baraza kuu la nne la Chama Wafayakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar wakiimba nyimbo maarufu ya Mshikamano katika kikao hicho.
Picha ya pamoja ya Wajumbe walioshiriki kikao cha Baraza kuu la nne la Chama cha Wafayakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar ZAPSWU. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar
Hivyo makala Mkutano wa nne baraza kuu la chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar
yaani makala yote Mkutano wa nne baraza kuu la chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa nne baraza kuu la chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mkutano-wa-nne-baraza-kuu-la-chama-cha.html
0 Response to "Mkutano wa nne baraza kuu la chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar"
Post a Comment