title : UBUNGO BADO INA HITAJI MAJI ZAIDI
kiungo : UBUNGO BADO INA HITAJI MAJI ZAIDI
UBUNGO BADO INA HITAJI MAJI ZAIDI
Mwambawahabari
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa aweso, amewaomba Wakurugenzi wa nchini kuwalipa wakandarasi waliofanya kazi zao vizuri kuwalipa kwa wakati fedha zao ili kuendana na kasi ya utekelezaji wa miradi.
Mhe. Aweso Ameyasema hayo wakati wa ziara yake katika Manispaa ya Ubungo na kuongeza kuwa utekelezaji wa miradi huchelewesha na Halimashauri na watendaji wazembe, kwa kutaka wapewe fedha ndipo wawalipe na kukemea tabia hiyo kwa inachelewesha miradi na iko kinyume cha maadili.
Hata hivyo ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa kutekeleza vyema miradi ya maji na kuwataka iwapo wa nahitaji usaidizi
Akitoa taarifa ya Wilaya Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo Ramadhani Mabula, amesema Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inayo mahitaji ya maji Lita 61milion, lakini sasa za nampatia na Lita 41 Milion sawa na silimia 65.
Hivyo makala UBUNGO BADO INA HITAJI MAJI ZAIDI
yaani makala yote UBUNGO BADO INA HITAJI MAJI ZAIDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UBUNGO BADO INA HITAJI MAJI ZAIDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/ubungo-bado-ina-hitaji-maji-zaidi.html
0 Response to "UBUNGO BADO INA HITAJI MAJI ZAIDI"
Post a Comment