TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba

TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba
kiungo : TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba

soma pia


TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba


Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma (RPC) kimepokea kwa msikitiko taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa Mtwara press club Hassan Simba kilichotokea Leo mchana.
Uongozi wa RPC unatoa pole kwa wanachama wa Mtwara press club, Familia ya Marehemu, Ndugu, jamaa na Marafiki na wote walioguswa na msiba huu ,tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Pumzika kwa Amani Ndugu yetu mpendwa.



Imetolewa na:
Andrew Chatwanga,
Katibu Ruvuma Press Club.


Hivyo makala TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba

yaani makala yote TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/tanzia-ruvuma-press-club-wamlilia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba"

Post a Comment