title : Rais magufuli alivyompandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali
kiungo : Rais magufuli alivyompandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali
Rais magufuli alivyompandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali
Brigedia Jenerali (aliyekuwa Kanali) Charles Mbuge akipongezwa baada ya kumpandishwa cheo hicho na Rais Dkt. Magufuli kutokana na utendaji kazi wake katika kusimamia vyema ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo ya ukutua wa Mererani, majengo ya ofisi za serikali na nyumba za watumishi wa umma jijini Dodoma. Hafla hii ya ghafla imefanyika wakati wa sherehe za uzinduzi wa mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma Jumamosi Aprili 13, 2019
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuliakimtangaza klumpandisha cheo cha Brigedia Jenerali (aliyekuwa Kanali) Charles Mbuge kutokana na utendaji kazi wake katika kusimamia vyema ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo ya ukutua wa Mererani, majengo ya ofisi za serikali na nyumba za watumishi wa umma jijini Dodoma. Hafla hii ya ghafla imefanyika wakati wa sherehe za uzinduzi wa mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma Jumamosi Aprili 13, 2019
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakishuhudia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeho akipokea saluti baada ya kumvisha cheo cha Brigedia Jenerali (aliyekuwa Kanali) Charles Mbuge baada ya kumpandisha cheo hicho kutokana na utendaji kazi wake katika kusimamia vyema ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo ya ukutua wa Mererani, majengo ya ofisi za serikali na nyumba za watumishi wa umma jijini Dodoma. Hafla hii ya ghafla imefanyika wakati wa sherehe za uzinduzi wa mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma Jumamosi Aprili 13, 2019
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakishuhudia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeho akimpongeza baada ya kumvisha cheo cha Brigedia Jenerali (aliyekuwa Kanali) Charles Mbuge baada ya kumpandisha cheo hicho kutokana na utendaji kazi wake katika kusimamia vyema ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo ya ukutua wa Mererani, majengo ya ofisi za serikali na nyumba za watumishi wa umma jijini Dodoma. Hafla hii ya ghafla imefanyika wakati wa sherehe za uzinduzi wa mji wa Serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma Jumamosi Aprili 13, 2019
Hivyo makala Rais magufuli alivyompandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali
yaani makala yote Rais magufuli alivyompandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais magufuli alivyompandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/rais-magufuli-alivyompandisha-cheo.html
0 Response to "Rais magufuli alivyompandisha cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali"
Post a Comment