RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA

RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA
kiungo : RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA

soma pia


RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti ameendesha harambee iliyopatikana sh17. 5 milioni ya umaliziaji wa jengo la maabara ya shule ya sekondari Bishop Hando ya Wilayani Mbulu.

Pia, Mnyeti amewapa zawadi ya sh1 milioni walimu wa shule hiyo na wanafunzi wakapewa magunia 100 ya mahindi ya chakula kwa kushika nafasi ya kwanza kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017.Aliendesha zoezi hilo kwenye ziara yake ya siku saba ya kutembelea halmashauri ya wilaya ya Mbulu ambapo atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo, kusikiliza kero na kuzungumza na wananchi.

Mnyeti akizungumza kwenye shule hiyo amemuagiza mkuu wa wilaya hiyo Chelestino Mofuga kuhakikisha maabara hiyo inakamilika ndani ya muda wa miezi mitatu.“Hata mimi niliwahi kuwa mkuu wa shule ya sekondari, natambua gharama za ujenzi zilivyo, hapa panahitajika sh40 milioni, sisi tumechangia sh17. 5 milioni sasa pambaneni mlimalize jengo hili,” alisema Mnyeti.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti akizungumza na wanafunzi na walimu wa shule ya sekondari Bishop Hando iliyoshika nafasi ya kwanza kwenye mtihani wa kidato cha nne mwaka jana Wilayani Mbulu, ambapo aliwapa zawadi ya shilingi milioni moja walimu wa shule hiyo na wanafunzi aliwapa chakula, magunia 100 ya mahindi baada ya kushika nafasi hiyo.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Bishop Hando ya Kata ya Masqaroda Wilayani Mbulu wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti alipotembelea shule hiyo ambapo aliendesha harambee ya umaliziaji wa ujenzi wa jengo maabara na kupatikana shilingi milioni 17.5.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti akimsikiliza mwalimu wa shule ya sekondari Bishop Hando, ya Wilayani Mbulu Samuel Surumbu alipotembelea shule hiyo na kufanya harambee ya umaliziaji wa ujenzi wa jengo la maabara na kupatikana shilingi milioni 17.5 Wanafunzi wa shule ya sekondari
Wanafunzi wa shule ya sekondari Bishop Hando na wananchi wa Kata ya Masqaroda Wilayani Mbulu wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti alipotembelea shule hiyo kwenye ziara yake ya siku saba ya kutembelea wilaya ya Mbulu, ambapo anakagua miradi ya maendeleo, kuwasikiliza wananchi na kuzungumza nao.



Hivyo makala RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA

yaani makala yote RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/rc-mnyeti-aendesha-harambee-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MNYETI AENDESHA HARAMBEE NA KUPATIKANA SHILINGI MILIONI 17 UJENZI WA MAABARA"

Post a Comment