title : RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI WILAYANI CHATO
kiungo : RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI WILAYANI CHATO
RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI WILAYANI CHATO
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita Februari 25, 2018.
Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka kwa Padre Alex Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita Februari 25, 2018.

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini wa kanisa hilo mara baada ya kukaribishwa na Padre Alex Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25, 2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru Padre Alex Bulandi baada ya kusalimia wakati wa Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Chato Mhe.Medradi Kalemani akiwasalimia waumini wa kanisa wakati wa Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Padre Alex Bulandi baada ya Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nishati amabaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mhe. Medrad Kalemani mara baada ya Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
PICHA NA IKULU.
Hivyo makala RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI WILAYANI CHATO
yaani makala yote RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI WILAYANI CHATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI WILAYANI CHATO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/rais-magufuli-ashiriki-ibada-ya-misa.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI WILAYANI CHATO"
Post a Comment