BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA

BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA
kiungo : BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA

soma pia


BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko ameupa Siku 14 Mgodi wa Dhahabu wa Katavi & Kapufi uliopo Mkoani Katavi kuhakikisha uwe umekamilisha taratibu za kuajiri Watanzania na kupunguza wafanyakazi wa kigeni kwenye nafasi ambazo Watanzania wanazimudu kama Sheria inavyoelekeza.

Alitoa agizo hili jana Tarehe 24 Februari, 2018 alipofanya ziara kwenya mgodi huo ili kujionea shughuli zinazofanyika katika mgodi huo.

Taarifa ya mgodi iliyowasilishwa kwake ilibainisha kuwa jumla ya wageni 48 wameajiriwa na huku 36 kati yao wakiwa hawana ujuzi na wanafanya shughuli ambazo Watanzania wanamudu, ikiwemo ya ulinzi.

Biteko alisema dhamira ya Serikali ni kuona Watanzania wananufaika na Sekta ya Madini kwa namna mbalimbali ikiwemo ya kujipatia ajira kwenye migodi na kwamba suala hilo la kuajiri wageni kwenye nafasi wanazomudu Watanzania halivumiliki.

Alimuagiza Mkuu wa Wilaya na Afisa Madini kuhakikisha wanalifuatilia jambo hilo na liwe limemalizika baada ya wiki mbili kuanzia Tarehe 24 Februari, 2018 na apatiwe mrejesho wake.
aibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (kushoto) akijadiliana jambo na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Lilian Matinga (katikati) wakati wa kukagua shughuli ziazofanyika kwenye Mgodi wa Dhahabu wa Katavi & Kapufi Ltd uliopo Mkoani Katavi.
 Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko (wa pili kulia) akitembelea maeneo mbalimbali ya Mgodi wa Dhahabu wa Katavi & Kapufi Ltd uliopo Mkoani Katavi ili kujionea shughuli zinazoendelea mgodini hapo. Wa pili kulia ni Mbia na Makamu Mwenyekiti wa Mgodi wa Katavi & Kapufi Ltd, Sebastian Kapufi
 Moja ya eneo la mitambo kwenye mgodi wa Dhahabu wa  Katavi & Kapufi Ltd uliopo Mkoani Katavi

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA

yaani makala yote BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/biteko-autaka-mgodi-wa-katavi-na-kapufi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BITEKO AUTAKA MGODI WA KATAVI NA KAPUFI KUAJIRI WATANZANIA"

Post a Comment