RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA
kiungo : RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

soma pia


RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

Na Dixon Busagaga,Moshi.

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania ,Kanda ya Moshi ,imemuhukumu kifungo cha maisha jela ,Christina  Biskasevskaja (26) raia wa nchi ya Lithuania baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin na Hydrochloride kinyume cha sheria .

Hukumu hiyo imetolewa jana Mahakama kuu ya Tanzania ,Kanda ya Moshi  na Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu ,Aishieri Sumari ambapo upande wa utetezi ulikuwa ukiwakilishwa na Mawakili Patrick Paul na Gwakisa Sambo huku upande wa jamhuri ukiwakilishwa na Jopo la Wanasheria wa serikali wakiongozwa na Tamari Mndeme .

Akisoma hukumu ,Jaji Sumari alieleza kuwa mahakama imejiridhisha kupitia ushahidi usio na shaka uliowasilishwa na mashahidi wapatao saba wa upande wa Jamhuri unlimtia hatiani mshtakiwa huyo ambao ulieleza kukutwa na Dawa hizo zikiwa na uzito wa gramu 3775.26 na thamani ya sh za kitanzania Mil 169,886,700.

Biskasevskaja ambaye pia anatajwa kuwa msanii wa Muziki  alikamatwa Agosti ,28 mwaka 2012  majira ya saa 9:16 za mchana katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akijiandaa kuelekea katika mji wa Brussels Ubelgiji kupitia Addis Ababa Ethiopia.

 Christina  Biskasevskaja (26) raia wa nchi ya Lithuania akiwa chini ya Ulinizi baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin na Hydrochloride kinyume cha sheria .




Hivyo makala RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

yaani makala yote RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/raia-wa-kigeni-ahukumiwa-kifungo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIA WA KIGENI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA"

Post a Comment