title : PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU
kiungo : PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU
PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU
Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Salum Mwalimu akihutubia katika Mkutano wa Wananchi uliofanyika katika Kata ya Kigogo akiomba kura hili aweze kupata ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni katika Uchaguzi Mdogo wa Marudio utakaofanyika February 17, 2018
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akumuombea Kura Mgombea Ubunge wa CHADEMA Salum Mwalimu katika Mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Raound abot ya Kigogo .
Waziri Mkuu Mstaafu, na Kampeni Meneja wa Mgombea Ubunge wa Chadema , Fredrick Sumaye akihutubia Wananchi wa kata ya Kigogo katika Mkutano uliofanyika Kigogo.
Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Salum Mwalimu , akiwa Juu ya gari na kuwapungia mkono wakazi wa Kigogo mara baada ya kumaliza mkutano wake wa kuomba kura kwa Wananchi
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Kigogo waliojitokeza kwa wingi katika Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni Salum Mwalimu.
Hivyo makala PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU
yaani makala yote PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/pesa-za-maendeleo-hazina-chama-salum.html
0 Response to "PESA ZA MAENDELEO HAZINA CHAMA-SALUM MWALIMU"
Post a Comment