Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017.

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017.
kiungo : Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017.

soma pia


Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Tanzania Ndg. Kheri Denice James na Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo Ndg. Tabia Maulid Mwita wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi katika mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Viongozi wa UVCCM uliofanyika Mkoano Dodoma katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango.
 Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Tanzania watakaowakilisha UVCCM wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangaza washindi wa Uchaguzi Mkuu wa UVCCM.

1. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James.

2. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti... 

Kura halali 565 
Thabia Mwita 286 (Mshindi)
Rashid Mohamed Rashid 282 

#MatokeoUchaguziUVCCM

3. Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara.. 

Sophia Kizigo 
Musa Mwakitinya 
Keisha 

#MatokeoUchaguziUVCCM

4. Wajumbe 2 kwenda Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Zanzibar.. 

Abdallaghari Idrisa Juma 
Maryam Mohamed Khamis 

#MatokeoUchaguziUVCCM

5. Wawakilishi kutoka Tanzania Bara kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa nafasi 3.. 

Rose Manumba 
John Katarahiya 
Secky Katuga

#MatokeoUchaguziUVCCM

6. Wawakilishi kutoka Zanzibar kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa 

Nasra haji 
Abdallah Rajabu

#MatokeoUchaguziUVCCM

7. Mshindi nafasi ya Uwakilishi kutoka Vijana kwenda Jumuiya ya Wazazi ni AMIR MKALIPA
 #MatokeoUchaguziUVCCM

8. Mshindi nafasi ya Uwakilishi Vijana kwenda UWT ni DOTO NYIRENDA


Hivyo makala Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017.

yaani makala yote Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-wa-jumuiya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya UVCCM Taifa 2017."

Post a Comment