MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE

MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE
kiungo : MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE

soma pia


MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE


Na Mary Gwera 

KAMA ilivyo kwa huduma nyingine katika jamii, huduma ya upatikanaji wa HAKI ni miongoni mwa huduma ambazo wananchi wanahitaji kwa wakati bila longolongo, kufuatia uhitaji huu wa Wananchi, Mahakama ya Tanzania imekuwa na inaendelea katika jitihada za kuboresha huduma ya upatikanaji wa haki kwa kujenga na kukarabati miundombinu bora na wezeshi ya kutolea haki. 

Tukiangazia Mkoa wa Mara ambapo kwa kipindi kirefu wananchi wake wamekuwa na wanaendelea kupata shida hususani katika upatikanaji wa huduma ya haki kwa ngazi ya Mahakama Kuu ambapo Mwananchi mwenye kesi anatakiwa kusafiri kwa kilomita zipatazo 218 kwenda Mahakama Kuu Mwanza ili kutafuta haki yake. 

Kulingana na uhitaji mkubwa wa huduma ya Haki nchini, Mahakama ya Tanzania imekuwa ikifanya ujenzi na matengenezo ya majengo yake kwa awamu kulingana na hali ya bajeti, kwa sasa Mahakama ya Tanzania imeanza ujenzi wa Mahakama Kuu katika mikoa miwili ambayo ni Mara na Kigoma. 

Katika mahojiano maalum na Mtendaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma, Bibi. Zilliper Geke yaliyofanyika ofisini kwake Mahakama ya Mkoa-Musoma, Februari 13, Bi. Zilliper anasema kuwa ujenzi wa Mahakama Kuu unaoendelea katika Kanda hiyo umeleta faraja na ukombozi mkubwa kwa wananchi wa Mkoa wa Mara kwani wamekuwa wakisumbuka kwa muda mrefu kusafiri kilometa kadhaa kwenda mkoani Mwanza kutafuta haki zao kwa ngazi ya Mahakama Kuu. 

“Kwakweli wananchi wa Mkoa huu na hata wateja wanaokuja katika Mahakama ya Mkoa, wanaonekana kufurahia ujenzi wa Mahakama Kuu Musoma ambapo pindi itakapokamilika itawaondolea usumbufu wa kusafiri hadi Mwanza kupata huduma” alieleza Mtendaji huyo. 
Mtendaji-Mahakama ya Hakimu Mkazi-Musoma, Bi. Zilliper Geke akiongea jambo katika mahojiano maalum. (Picha na Mary Gwera, Musoma-Mara) 
Muonekano wa sehemu ya jengo la Mahakama Kuu-Musoma likiendelea kujengwa. 
Mafundi wakiendelea na ujenzi. 
Wahandisi wa Mradi huo wakitoa maelezo ya hatua ya ujenzi waliyofikia kwa katika ujenzi wa jengo hilo. 



Hivyo makala MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE

yaani makala yote MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mradi-wacujenzi-mahakama-kuu-kanda-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MRADI WACUJENZI MAHAKAMA KUU-KANDA YA MSOMA WAENDELEA,WANANCHI WAUPOKEA KWA SHANGWE"

Post a Comment