MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA

MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA
kiungo : MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA

soma pia


MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA

Na Said Mwishehe,Globu ya Jamii 

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita amewasilisha mpango wa Bajeti wa mwaka 2018 hadi 2019 ambapo jumla ya Sh. bilioni 75.2 zitatumika kwa mwaka huo katika shughuli mbalimbali.

Baada ya kuuwasilisha mpango huo kwenye Baraza la Madiwani umepitishwa kwa kauli moja na madiwani hao huku wakipongeza kuwa Jiji la Dar es Salaam limepata Meya anayejali maslahi ya wananchi wa Jiji hilo.

Akizungumza alipokuwa akiwasilisha Mpango huo wa bajeti,Mwita amesema Halmashauri hiyo imeandaa mpango huo kwa kuzingatia taratibu zinazotakiwa kufuatwa na mamlaka za Serikali za mitaa katika utayarishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha wa 2018 na 2019.

Amefafanua Jiji linatarajia kukusanya na kutumia Sh. bilioni 75.2 itakayotokana na vyanzo mbalimbali vya mapato ikiwemo Sh.bilioni 18.1 ambazo zinatarajiwa kukusanywa kutoka kwenye vyanzo vya vyandani.

"Mapato mengine yatapatikana kutokana na halmashauri kubuni vyanzo vingine vya mapato sambamba na kuboresha mikakati ya ukusanyaji wa mapato." Utekelezaji wa bajeti hiyo umelenga kutekelaza mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis,kuboresha miundombinu ya Dampo,ujenzi wa vyoo vya Umma na kuhakikisha utoaji wa huduma usiokua na usumbufu kwa wananchi,"amesema Mwita.

Ameongeza Jiji la Dar es Salaam limepanga kutumia asilimia 65 ya mapato ya ndani sawa na Sh.bilioni 11.7 kwa ajili ya kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo huku Sh. bilioni 1.08 zitatumika kwa ajili ya mfuko wa wanawake ,vijana na wal

Kuhusu utalii,Mwita amesema kwenye bajeti hiyo zaidi ya Sh.bilioni mbili zimetengwa kuboresha sekta ya hiyo ikiwemo kununua mabasi ,kutengeneza na kuboresha vivutio mbalimbali vilipo jijini hapa.


Hivyo makala MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA

yaani makala yote MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/meya-jiji-la-dar-awasilisha-mpango-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA JIJI LA DAR AWASILISHA MPANGO WA BAJETI BIL 75.2/- ,MADIWANI WAUPITISHA"

Post a Comment