MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
kiungo : MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

soma pia


MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati akifungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani  ya  Nchi. Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara. Kikao hicho kimefanyika  katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mhandisi Hamad  Masauni (watatu kulia), na  Naibu Katibu Balozi Hassan Simba Yahya (wanne kulia), wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara .Wengine ni  viongozi wa Chama cha Wafanyakazi  tawi la wizara hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala na Kamishna   wa Magereza anayeshughulikia  Utawala na Fedha, Gaston Sanga wakiimba  wimbo wa mshikamano wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimechofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye(kushoto) na Kamishna wa Magereza anayeshughulikia  Utawala na Fedha, Gaston Sanga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye,akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimechofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala na Kamishna   wa Magereza anayeshughulikia  Utawala na Fedha, Gaston Sanga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI



Hivyo makala MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

yaani makala yote MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/masauni-afungua-kikao-cha-baraza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MASAUNI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI"

Post a Comment