THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI

THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI
kiungo : THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI

soma pia


THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI

 Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw Makbel akizungumza juu ya mpango wa uanagenzi ulivyoweza kuwasaidia Vijana wengi kuingia katika sekta rasmi na kuweza kushindana na wasomi wengine ambao walipata ujuzi katika mfumo wa kawaida.
 Mwakilishi wa Tasisi ya Vijana Think Tank akizungumza namna Vijana wanavyotakiwa kufikiri zaidi hili waweze kujikwamua katika wimbi la kukosa ajira kwa kusema kuwa kila mwaka kundi la Vijana wasiokuwa na ajira wanavyoongezeka
 Mtaalamu wa Masula ya ushauri wa kujikwamua na ajira kutoka Shirika la kazi Duniani ILO, Comoro Mwenda akitoa somo ya namna vijana nini waweze kufanya hili kufikia malengo yao ya kuajiriwa au kujiajiri popote pale duniani
 Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Launch Pad Tanzania, Caroline Ndosi akizungumza wakati wa akiongoza Meza ya mjadal awakati wa kongamano la kuwajengea Vijana uwezo wa ujasiliamali na kuweza kuajirika katika Tasisi mbalimbali.
Sehemu ya Vijana kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania walioshiriki Kongamano la Kuongeza Maharifa ya ujasiliamali na kuajirika lililoandaliwa na Tasisi isiyo ya Kiserikali ya The Launch Pad


Hivyo makala THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI

yaani makala yote THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/the-launch-pad-yawanoa-vijana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "THE LAUNCH PAD YAWANOA VIJANA MABALIMBALI JUU YA MAHARIFA YA KAZI NA UJASILIAMALI"

Post a Comment