MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO

MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO
kiungo : MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO

soma pia


MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watoto wakati alipotembelea shule  ya msingi ya Mitindo wilayani Misungwi  na kufungua bweni la wavulana katika shule hiyo ambayo pia inalea  na kusomesha watoto wenye ulemavu wa ngozi , Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua bweni la wavulana katika shule ya msing ya Mitindo wilayani Misungwi, Februari 19, 2018.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na watatu kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga,
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mdawati katika madarasa ya shule ya msingi ya Mitindo wilayani Misungwi baada ya kufungua bweni la wavulana shuleni hapo Februari 19, 2018. Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hyo, S. Mafie.
Wazri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mtoto Januari  wa Shule ya Msingi ya Mitindo wilayani Misungwi ambayo pia inawalea na kuwasomesha watoto wenye ulemavu wa ngozi , Februari 19, 2018. Mtoto huyo siku zote amesisitiza kwamba baada ya kumaliza masomo yake akiwa mtu mzima angependa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania .
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na  watoto alipotembelea Shule ya Msingi ya Mitindo ambayo pia inalea na kuwasomesha watoto  wenye ulemavu wa ngozi wilayani Misungwi Februari 19, 2018. Mheshimiwa Majaliwa pia alifungua bweni la wavulana shuleni hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO

yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/majaliwa-atembelea-shule-ya-msingi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MITINDO INAYOLEA NA KUSOMESHA WATOTO WENYE UALBINO"

Post a Comment