KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU.

KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU.
kiungo : KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU.

soma pia


KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU.

Wachezaji wa kikosi cha Yanga Kutoka kushoto ni Mzambia Obrey Chirwa, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi na Mzalendo Pius Buswita.

MWAMBA WA HABARI
NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM.

Mchezo namba 152 wa mzunguko wa 19 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Ndanda FC ya Mtwara na Yanga SC umepangiwa  tarehe ya kuchezwa mchezo ili kwenda na ratiba ya ligi.


Kwa mujibu wa Bodi ya ligi Mchezo huo sasa utachezwa Jumatano Februari 28, mwaka huu  katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona uliopo mkoani Mtwara na tayari timu zote tayari zimejulishwa kuhusu tarehe ya kuchezwa mchezo hu.

Katika hatua nyengine Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limeongeza tiketi kwa Tanzania kwa ajili ya fainali za kombe la Dunia zitakazochezwa Urusi mwaka huu.


Kwa shabiki yeyote anayetaka kwenda kushuhudia fainali hizo za Kombe la Dunia awasiliane na idara ya mashindano ya TFF kwa utaratibu wa namna ya kupata tiketi hizo.



Ngwe hii ya pili ya tiketi za Kombe la Dunia imefunguliwa Februari 15 mwaka huu na itafungwa Machi 12, 2018.



Ikumbukwe awali FIFA walitoa tiketi 290 kwa Tanzania ili kushuhudia fainali hizo za Kombe la Dunia kabla ya zoezi hilo kufungwa mwezi Januari na sasa imefunguliwa ngwe nyingine ya tiketi hizo.


Hivyo makala KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU.

yaani makala yote KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/kiporo-cha-yanga-ndanda-fc-kupigwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIPORO CHA YANGA, NDANDA FC KUPIGWA FEBRUARI 28 MWAKA HUU."

Post a Comment