title : Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan
kiungo : Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan
Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Aga Khan, Bw. Amin Kurji alipomtembelea katika Ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2018.
Mazungumzo kati ya Prof. Mkenda na Bw. Kurji yalijikita katika kujadili masuala ya ushirikiano na shughuli za maendeleo ambazo zimekuwa zikifanywa na Shirika la Aga Khan nchini katika kuhudumia wananchi hususan katika sekta ya Afya na Elimu.
Mazungumzo yakiendelea, kulia ni wajumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Hivyo makala Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan
yaani makala yote Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/katibu-mkuu-mambo-ya-nje-akutana-na_9.html
0 Response to "Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan"
Post a Comment