title : Mvua yasababasha kizaa zaa Barabara ya Tabora Mpanda
kiungo : Mvua yasababasha kizaa zaa Barabara ya Tabora Mpanda
Mvua yasababasha kizaa zaa Barabara ya Tabora Mpanda

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora SACP WILBROD MUTAFUNGWA leo ametembelea kijiji cha Ipole wilaya Sikonge ambako Magari zaidi ya 30 yalikwama kutokana na kukatika kwa barabara ya Tabora - Mpanda kulikosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani hapa.
Kamanda Mutafungwa ameongea na wasafiri waliokwama hapo kwa muda wa siku mbili na kuwahakikishia kuwa barabara hiyo itatengemaa kwa muda mfupi na wataendelea na safari yao.kutokana na jitihada kubwa zinazoendelea kufanyika kwa ushirikiano na wakala wa Barabara TANROAD
Abiria hao wametoa shukrani zao kwa Jeshi la Polisi kwa namna walivyoshirikiana nao kwa kuhakikisha ulinzi na usalama umekuwepo kwa muda wote katika eneo hilo.
Zoezi la urekebishaji wa barabara hiyo linaendelea vizuri huku baadhi ya magari ya abiria yakiwa yameanza safari zake.
Hivyo makala Mvua yasababasha kizaa zaa Barabara ya Tabora Mpanda
yaani makala yote Mvua yasababasha kizaa zaa Barabara ya Tabora Mpanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mvua yasababasha kizaa zaa Barabara ya Tabora Mpanda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/mvua-yasababasha-kizaa-zaa-barabara-ya.html
0 Response to "Mvua yasababasha kizaa zaa Barabara ya Tabora Mpanda"
Post a Comment