title : JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUZIACHIA PIKIPIKI AMBAZO ZIMEZISHIKILIA KWA MUDA MREFU.
kiungo : JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUZIACHIA PIKIPIKI AMBAZO ZIMEZISHIKILIA KWA MUDA MREFU.
JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUZIACHIA PIKIPIKI AMBAZO ZIMEZISHIKILIA KWA MUDA MREFU.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba akikagua pikipiki ambazo zimeshikiliwakatika kituo cha polisi pangani. ameagiza polisi nchini kuziachia pikipiki ambazo wamezishikilia kwa mda mrefu na zina makosa madogo waziachie na wasikae nazo kwa mda mrefu mpaka zikawa vyuma chakavu.
………………………………………………………………………………….
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba amelitaka jeshi la polisi nchini kuziachia pikipiki ambazo wamezishikilia kwa muda mrefu na zina makosa madogo waziachie na wasikae nazo kwa mda mrefu mpaka zikawa vyuma chakavu.
Dk Mwigulu amesema yale yenye makosa makubwa kama uhalifu wa kivita, madawa ya kulevya, na wale wanaotelekeza wabaki nazo na wafanye utaratibu wa kuwapeleka mahakani au kuziteketeza na zenye makosa madogo wazitatua haraka na kuwarudishia na kuwapa elimu wamekosea wapi.
“Wapeni masomo wamekosea wapi walekezeni na waliowabishi waelekebisheni lakini tusirundike tukatengeza vyuma chakavu kwa hivi vitu ambavyo utatuzi wake tunawo, tutumie huu mkono wakutatua kwa yale ambayo yapo ndani ya mamlaka yetu” alisema Dk Mwigulu
Alisema kuwa ipo haja ya vijana sasa kufundishwa zaidi kuhusu sheria ya usalama barabarani ili kupunguza ajali ya pikipiki na mlundikano wa pikipiki katika vituo vya polisi nchini kwani kila napopita kita vituo vya polisi hukuta pikipiki ni nyingi na makosa yao ni madogomadogo.
Hivyo makala JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUZIACHIA PIKIPIKI AMBAZO ZIMEZISHIKILIA KWA MUDA MREFU.
yaani makala yote JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUZIACHIA PIKIPIKI AMBAZO ZIMEZISHIKILIA KWA MUDA MREFU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUZIACHIA PIKIPIKI AMBAZO ZIMEZISHIKILIA KWA MUDA MREFU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/jeshi-la-polisi-nchini-latakiwa_9.html
0 Response to "JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUZIACHIA PIKIPIKI AMBAZO ZIMEZISHIKILIA KWA MUDA MREFU."
Post a Comment