Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi

Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi
kiungo : Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi

soma pia


Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi

 Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango  akiwa katika Picha ya Pamoja  Ofisini kwake baada ya kutembelewa na Naibu Kamishina wa Polisi DCP Ahmada.A. Khamis Mkuu wa Kitengo  cha Polisi Jamii, Mkuu wa Kituo cha Polisi Nachingwea, SP Kasigwa, na Meneja Mwandamizi wa huduma za Uwakala Benki ya CRDB  Bwa.Donath Mushi, Wengine ni Abel Laswai  meneja mauzo wa wateja wadogo (wa kwanza kushoto) na Inspekta Issa Asali kutoka kitengo cha Polisi Jamii (wa mwisho kulia). Jeshi la Polisi pamoja na maafisa wa Benki ya CRDB  kutoka Makao Makuu Dar es salaam wapo Mkoani Lindi kwa ajili  kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za ki benk pamoja na elimu juu ya wizi wa fedha kwa njia ya mtandao.
 Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango akimkabidhi zawadi ya Korosho  kwa niaba ya wananchi wa wilaya hiyo Naibu Kamishina wa  Polisi DCP Ahmada.A.Khamis. Zawadi hiyo ilitolewa kama shukrani na wananchi  wa wilaya hiyo kutokana na elimu waliyopewa.
Meneja Mwandamizi wa huduma za uwakala kwa Benki ya CRDB Donath Mushi akitoa elimu kwa wananchi wa Kata ya Naipingu iliyopo wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, Jana juu ya matumizi salama ya Huduma za bank ma uhifadhi salama wa fedha katika benki hiyo.


Hivyo makala Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi

yaani makala yote Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/jeshi-la-polisi-na-benki-ya-crdb.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi"

Post a Comment