title : WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA
kiungo : WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA
WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA
Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amekabidhi mradi wa SIDO kujenga Industrial sheds kwa Mkandarasi SUMA JKT. Katika Makabidhiano hayo Waziri Mwijage ametoa miezi 2 kwa mkandarasi kukamilisha ujenzi wa majengo hayo. Mradi huo unakadiriwa kugharimu zaidi ya sh. Milioni 200,ambapo majengo yatajengwa ndani ya eneo la SIDO Mtwara lenye ukubwa wa hekta 8.
Hivyo makala WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA
yaani makala yote WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/waziri-wa-biashara-na-viwanda-ziarani.html
0 Response to "WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZIARANI MTWARA"
Post a Comment