title : Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja
kiungo : Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja
Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja,kushoto Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Haroun Ali Suleiman na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Makungu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
BAADHI ya Wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja wakati wa uzinduzi wake
BAADHI ya Majaji na Mahakimu wa Mahakama za Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa jengo hilo
Hivyo makala Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja
yaani makala yote Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/dkt-shein-afungua-jengo-mahakama-ya.html
0 Response to "Dkt. Shein Afungua Jengo Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja"
Post a Comment