Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga

Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga
kiungo : Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga

soma pia


Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga

Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, ametembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.
Katika ziara hiyo, Dkt. Mwinuka amejionea shughuli mbalimbali zinazofanyika kituoni hapo. 

Kituo hicho ni mojawapo ya vituo vilivyofanyiwa upanuzi wakati wa utekelezaji wa Mradi wa njia ya Kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 (Backbone) kutoka Mkoani Iringa hadi Shinyanga.
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, akisaini Kitabu cha Kumbukumbu ya Wageni Wakati alipotembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.
Muonekano wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.


Hivyo makala Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga

yaani makala yote Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/dkt-mwinuka-atembelea-kituo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga"

Post a Comment