WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA
kiungo : WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA

soma pia


WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA

Na Athumani Shariff- MoWI 

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe leo amezindua miradi miwili ya maji ambayo ipo Halmashauri za Wilaya ya Mtwara na Masasi Mkoani Mtwara ilyogharimu jumla ya shilingi bilioni 2,764,376,293.19 yote kwa pamoja.

Mradi wa maji wa Mayaya katika Halmashauri ya Mtwara uligharimu shilingi 973,022,925 una vituo 37 vya kuchotea maji na unanufaisha wananchi wapatao 4,997.

Katika Halmashauri ya Masasi Waziri Kamwelwe alizindua mradi wa maji wa Shaurimoyo– Mpindimbi wenye thamani ya shilingi 1,791,353,368.19 ambao utanufaisha wakati wapatao 8,400 washio katika vijiji vya Shaurimoyo, Kachepa, Mpindimbi na Kanyimbi.

Wakati wa uzinduzi wa Miradi hiyo, wananchi walishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kutekeleza ahadi zake kwa vitendo kwani walikuwa na adha kubwa ya maji ambapo kabla ya mradi walikuwa wakinunua ndoo moja ya lita 20 kwa shilingi elfu moja na baada ya mradi wananunua ndoo moja kwa shilingi hamsini tu.

Kwa upande wake mbunge wa jimbo la Lulindi Jerome Bwanausi amemshukuru Wazira wa Maji na Umwagiliaji na serikali ya awamu ya tano kwa kukamilisha ahadi zao, na ana furaha isiyo na kifani kwa kukamilika miradi hiyo ambayo imeondoa kero kubwa ya maji kwa wananchi.

Waziri Kamwelwe kesho ataendelea na ziara ya kikazi Mkoani Lindi ambapo atakagua mradi wa maji wa Ng’apa kisha ataelekea Wilayani Newala Mkoani Mtwara kwa ajili ya uzinduzi mradi wa maji wa Mapili uliojengwa kwa thamani ya shilingi 1,668,826,940.

Baada ya kukamilika kwa ziara hiyo Mhandisi Kamwelwe atarudi Dodoma alhamisi kuendelea na shughuli za bunge. 

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe leo amezindua miradi miwili ya maji ambayo ipo Halmashauri za Wilaya ya Mtwara na Masasi Mkoani Mtwara ilyogharimu jumla ya shilingi bilioni 2,764,376,293.19 yote kwa pamoja. 


Hivyo makala WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA

yaani makala yote WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-kamwelwe-azindua-miradi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 2.76 MTWARA"

Post a Comment